HABARI MSETO (HEADER)


 


Breaking

February 16, 2026

Benki ya NMB na Breakthrough Attorneys washirikiana kuvutia uwekezaji kwenye sekta ya Madini Tanzania

Waziri wa Madini wa Tanzania, Anthony Mavunde, akizungumza wakati wa Kongamano la Uwekezaji katika Mnyororo wa Thamani wa Madini Tanzania, lililoandaliwa na Breakthrough Attorneys kwa ushirikiano na Benki ya NMB

 

 Waziri wa Madini wa Tanzania, Anthony Mavunde (4 kushoto), pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, James G. Bwana (5 kushoto), wakifuatilia kwa karibu shughuli za Kongamano la Uwekezaji katika Mnyororo wa Thamani wa Madini Tanzania lililofanyika Cape Town, Afrika Kusini.

 


Mkuu wa Kitengo cha Mauzo Idara ya Hazina kutoka Benki ya NMB, Jeremiah Lyimo, akichangia  hoja  wakati wa Kongamano la Uwekezaji katika Mnyororo wa Thamani wa Madini Tanzania lililofanyika Cape Town, Afrika Kusini.

Wajumbe kutoka Benki ya NMB wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Madini, Mhe.  Anthony Mavunde (wa tatu kushoto) , pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Mhe. James G. Bwana (wa nne kushoto), wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Uwekezaji katika Mnyororo wa Thamani wa Madini Tanzania lililofanyika jijini Cape Town, Afrika Kusini.


No comments:

Post a Comment

Pages