Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

AZAM YATANGULIA FAINALI YA MAPINDUZI, YAICHAPA TAIFA JANG'OMBE 1-0

Kikosi cha Taifa Jang'ombe.
 Kikosi cha AZAM FC.
Mshambuliaji wa timu ya Azam, Yahaya Mohammed akimpita beki wa timu ya Taifa ya Jangombe wakati wa mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi mchezo unaofanyika uwanja wa amaan Timu ya Azam ikiongoza kwa bao 1--0.(Picha na Othman Maulid)
 Wachezaji wa AZAM FC wakishangilia baada ya kupata bao katika dakika ya 34. 
Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akimpita beki wa timu ya Taifa ya Jangombe, Samir Yahya katika mchezo wao wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Azam FC imeshinda 1-0. (Picha na Othman Maulid)

No comments:

Post a Comment