Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

RAIS SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI VERDE-MARINE HOTEL ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akifungua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa VERDE-MARINE HOTEL Mtoni Mjini Magharibi, hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota 5 inayojengwa na kampunui ya ujenzi ya Bakhresa Group of Companies, ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (kulia) Mwenyekiti wa Bakhresa Group of Companies, Said Salim Bakhresa. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment