Dande Contanct

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU.

CRDB

CRDB
.

Pages

MAKAMU WA RAIS AMTEMBELEA MKUU WA MAJESHI MSTAAFU JENERALI MSUGURI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali David Msuguri nyumbani kwa Jenerali Msuguri Butiama mara baada ya kumtembelea na kumjulia hali. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

No comments:

Post a Comment