Dande Contanct

KWA MAWASILIANO ZAIDI. E-mail: dande15us@gmail.com.

CRDB

CRDB
.

UTT

UTT
.

NSSF-SHIB

.

.

Pages

WENGI WAVUTIWA NA BANDA LA LAPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

 Watu mbalimbali wakiingia katika banda la Mfuko wa Pensheni wa LAPF katika maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba jijini Dar es Salaam. 

 Watu wakijiandikisha katika banda la LAPF katika maonyesho ya Sabasaba.
Ofisa wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, John Mwita, akitoa maelekezo kwa watu waliofika katika banda la LAPF. 

 Maofisa wa LAPF wakitoa maelezo kuhusu Mfuko wa LAPF.
Ofisa wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, John Mwita, akitoa maelekezo kwa watu waliofika katika banda la LAPF.  

No comments:

Post a Comment