HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 29, 2020

KAMPENI ZA CCM JIMBO LA TEMEKE

Abbas Mtemvu Akimnadi mgombea Ubunge Jimbo la Temeke  kwa tiketi ya CCM, Dorothy Kilave, wakati wa kampeni hizo zilizofanyika katika viwanja vya Kata ya 14 Dar es Salaam.
Mbunge mteule Dorothy  Kilave (kushoto) akiwa na  baadhi ya viongozi meza  kuu. Kulia ni Abbas Mtemvu na Katibu Kata ya  14 Kiame Kassim.
 

1 comment:

Pages