Wanafamilia ya Marehemu, Salim Hemedi Khamisi, Mbunge wa Chambani wakilia kwa uchungu Salim Hemedi Khamisi
Baadhi ya viongozi wa Chama Cha Wananchi CUF wakiwa
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wakijadili
jambo wakati wakisubili mwili wa marehemu,Salim
Hemed Khamisi, Mbunge wa Chambani Pemba, Dar es Salaam.
Baadhi ya familia ya Mbunge wa Chambani Marehemu,
Salim Hemedi Khamisi, wakiwa na hudhuni kumwa baada ya mpendwa wao kufaliki
dunia.
Mke wa Mbunge wa Chambani Marehemu Salim Hemedi Khamisi wa pili kulia, Asla Saidi Zaharani, akili kwa uchungu baada ya kupewa taalifa ya kifo cha mume wake.
Spika wa Bunge, Anne Makinda, akiwafaliji viongozi wa
Chama cha wananchi CUF kutokana na kifo cha mbunge wao,Salim Hemedi
Khamisi,Salim Hemedi Khamisi, katika Hosptali ya Taifa Muhimbili
Spika wa Bunge, Anne Makinda,akimfariji Mke wa Marehemu
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam.
Baadhi ya watoto wa Marehemu, Salim Hemedi Khamisi wakiwa na hudhuni kutokana na kifo cha baba yao mpendwa.
Spika wa Bunge akiwafariji wanandugu wa wa marehemu
Mbunge wa Chambani, Salim Hemedi Khamis
Waziri wa Ulinzi, Shamshi Vuai Nahodha,akisalimiana na
wanafamilia wa marehamu, Salim Hemedi Khamis
Mwili wa Marehemu ukungizwa
katika Gari kwajili ya kuupeleka katika msikiti wa Shadhiri kwa jili ya
kuhuifadhiwa.
No comments:
Post a Comment