Mkurugenzi wa Bodi wa VETA Kanda ya Dar es Salaam, Charles Philimon akimsikiliza kwa makini Mwalimu wa VETA Diptoma Program katika taaluma ya ubunifu wa nguo na mavazi Ben Moris wakati alipotembelea katika banda la VETA lililopo katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam.Kulia ni Meneja wa rasmali watu wa VETA Joyce Rweyemamu.
Mkurugenzi wa Bodi wa VETA Kanda ya Dar es Salaam, Charles Philimon akiangalia moja ya suti iliyobuniwa na wanafunzi wa VETA Chang’ombe wakati alipotembelea katika banda la VETA lililopo katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam.Kulia ni Meneja wa rasmali watu wa VETA Joyce Rweyemamu na Kushoto ni mwanafunzi wa Diploma ya ubunifu wa nguo wa chuo hicho Paulin Emmanuel ambeye ndiye aliyeshona suti hiyo.
Mkurugenzi wa Bodi wa VETA Kanda ya Dar es Salaam, Charles Philimon akionyeshwa moja ya pochi na m wanafunzi wa VETA Chang’ombe Angle Mbele wakati alipotembelea katika banda la VETA lililopo katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam.Kulia ni Meneja wa rasmali watu wa VETA Joyce Rweyemamu na Kushoto ni mwanafunzi wa Diploma ya ubunifu wa nguo wa chuo hicho Paulin Emmanuel ambeye ndiye aliyeshona suti hiyo.
Katibu Muhtasi wa Arusha Intarnational Confrerence Centre. Joyce Mollel akiwaonyesha baadhi ya akinamama wa kikundi cha Masai cha Munduli Arusha shughuli zinazotoa, wakati akimama hao walipotembelea katika banda lao lililopo katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Thamani zinazotengenezwa na VETA.
No comments:
Post a Comment