HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 27, 2013

NMB WADHAMINI WAKUU WA MKUTANO WA USHIRIKA WA SERIKALI ZA MITAA KATI YA TANZANIA NA CHINA
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda katika picha ya pamoja na wadhamini wakuu mara baada ya kufungua Mkutano wa Ushirikiano wa Serikali za Mitaa kati ya Tanzania na China uliofanyika jana katika kituo cha mikutano cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Mkutano huo mdhamini mkuu alikua ni benki ya NMB.

No comments:

Post a Comment

Pages