HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 22, 2022

SHULE YA SEKONDARI MASHUJAA YAFANYA MAHAFALI YA KWANZA 2022

Mgeni rasmi Meneja Mwandamizi Huduma za kibenki na Serikali NMB, Amanda Feruzi, akivishwa skafu alipowasili katika eneo la mahafali ya Shule ya Sekondari Mashujaa iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wahimtimu.
 
 Mkuu wa Shule ya Sekondari Mashujaa, Joyce Kivelenge, akizungumza wakati wa mahafali hayo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari Mashujaa, Alphonce Kyessi, akizungumza katika mahafali hayo. 

 

Meneja Mwandamizi Huduma za kibenki na Serikali NMB, Amanda Feruzi, akitoa hotuba yake wakati wa mahafali ya Kwanza ya Shule ya Sekondari Mashujaa iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam ambapo jumla ya wahitimu 355 walipata vyeti.

 

Meneja Mwandamizi Huduma za kibenki na Serikali NMB, Amanda Feruzi, akikata keki wakati wa mahafali ya Kwanza ya Shule ya Sekondari Mashujaa iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam ambapo jumla ya wahitimu 355 walipata vyeti. 

Mkuu wa Shule ya Sekondari Mashujaa, Joyce Kivelege,  akimkabidhi keki mgeni rasmi.

  
 Meneja Mwandamizi Huduma za kibenki na Serikali NMB, Amanda Feruzi, akimkabidhi cheti cha shukrani, Rahma Mwafongo, mwanafunzi aliyefanya vizuri wakati wa mahafali ya Kwanza ya Shule ya Sekondari Mashujaa iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam ambapo jumla ya wahitimu 355 walipata vyeti. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya shule, Alphonce Kyessi.
Wanafunzi akipokea zawadi.

 
Msanii maarufu Kajala Masanja akizungumza katika mahafali hayo ambapo alilishwa kipande cha keki kwa shilingi milioni moja.



No comments:

Post a Comment

Pages