HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 03, 2014

MSHINDI WA DROO YA BAILEYS APATIKANA
Meneja wa vinywaji vikali kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti, Azda Amani akiongea kwa njia ya simu na mshindi wa kwanza wa droo ya Baileys, Adeline Gido (23) mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam, baada ya kumtangaza mshindi huyo.

No comments:

Post a Comment

Pages