Bomu la kutupwa kwa mkono likiwa limechimbiwa chini katika makutano ya barabara ya Morogoro na Shekilango jijini Dar es Salaam leo.
Polisi waliimarisha ulinzi katika eneo hilo.
Watu wakishangaa katika eneo la tukio.
Polisi wakichimbua chini kutoa bomu lililokuwa limefukiwa chini.
Polisi
wakiweka uzio leo katika makutano ya
Barabara ya Morogoro na Shekilango jijini Dar es Salaam, baada ya
kugundulika kuwepo kwa bomu katika eneo hilo.
No comments:
Post a Comment