HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 14, 2014

Rais Kikwete aagana na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa ikulu
 Mwakilishi mkazi na Mratibu wa Shughuli za Umoja wa Mataifa nchini(Resident Coordinator of the UN System), Alberic Kacou akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya Ripoti ya mwaka Utendaji ya (UNDP) 2012-2013 wakati mwakilishi huyo alipokwenda kumuaga Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo. Bwana Kacou anaondoka baada ya muda wake wa utumishi kumalizika hapa nchini. (Picha na Freddy Maro)
 


No comments:

Post a Comment

Pages