HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 24, 2014

Rais Kikwete aalikwa Nigeria na Rais Jonathan
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo  na Rais Goodluck Jonathan wa Nigeria wakati viongozi hao wawili walipokutana na kufanya mazungumzo Alhamisi, Januari 23, 2014, kwenye Hoteli ya Intercontinental, Davos, Uswisi, ambako  walikuwa wakihudhuria  Mkutano wa Mwaka huu wa Taasisi ya Uchumi Duniani –WEF.  (PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment

Pages