Watumishi wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga (TCAA) wakitoa maelezo kuhusu shughuli wanazozifanya
walipotembelewa na wananchi mbalimbali waliohudhuria maonyesho ya kuadhimisha
miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye viwanja vya Betrasi
mjini Unguja.

Watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), wakitoa maelekezo wa wanachama wa mfuko huo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Perreira Ame Sillima akiwa katika banda la Bima ya Afya.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani,
Perreira Ame Sillima akipima uzito kwenye banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
(NHIF), kwenye maonesho ya maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
yaliyofanyika mjini Unguja, jana. (Na Mpiga Picha Wetu)
No comments:
Post a Comment