Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akitangaza uhamisho na uteuzi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande)
Baadhio ya waandishi wa habari wakiwa makini wakati wa kutangazwa kwa Uhamisho na Uteuzi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri.
DAR ES SALAAM, Tanzania
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri
na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:-
1.0
OFISI YA RAIS
Hakuna mabadiliko.
2.0
OFISI YA MAKAMU WA RAIS
2.1
Waziri wa Nchi (Muungano) - Hakuna mabadiliko
2.2 Mhe. Eng. Dr. Binilith Satano MAHENGE (Mb)
Waziri
wa Nchi (Mazingira).
2.3 Mhe.
Ummy Ali MWALIMU (Mb)
Naibu
Waziri
3.0
OFISI YA WAZIRI MKUU
Hakuna mabadiliko
4.0 WIZARA
4.1 WIZARA
YA FEDHA
4.1.1
Mhe.
Saada Mkuya SALUM (Mb)
Waziri
wa Fedha
Mhe. Mwigulu Lameck NCHEMBA (Mb)
Naibu
Waziri wa Fedha
4.1.2
Mhe.
Adam Kighoma Ali MALIMA (Mb)
Naibu
Waziri wa Fedha
4.2
WIZARA YA MAMBO YA NJE NA
USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Hakuna mabadiliko
4.3 WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
4.3.1 Mhe. Dkt. Asha-Rose Mtengeti MIGIRO (Mb)
Waziri
wa Katiba na Sheria
4.3.2
Naibu
Waziri - Hakuna mabadiliko
4.4
WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA
MASHARIKI
Hakuna mabadiliko
4.5 WIZARA
YA VIWANDA NA BIASHARA
4.5.1 Waziri - Hakuna mabadiliko
4.5.2 Mhe.
Janet Zebedayo MBENE (Mb)
Naibu
Waziri wa Viwanda na Biashara
4.6 WIZARA
YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA
Mhe.
Dkt. Hussein Ali Mwinyi (Mb)
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
4.7 WIZARA YA UJENZI
Hakuna mabadiliko
4.8 WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
4.8.1 Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb)
Waziri
wa Mambo ya Ndani
4.8.2
Naibu
Waziri - Hakuna Mabadiliko
4.9 WIZARA YA AFYA NA
USTAWI WA JAMII
4.9.1
Mhe.
Dkt. Seif Seleman RASHIDI (Mb)
Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii
4.9.2
Mhe.
Dkt. Kebwe Stephen KEBWE (Mb)
Naibu
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
4.10 WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
4.10.1 Waziri:
Hakuna mabadiliko
4.10.2 Mhe. Jenista Joakim MHAGAMA (Mb)
Naibu
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
14.11 WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA
WATOTO
14.11.1 Waziri: Hakuna mabadiliko
14. 11.2 Mhe. Dkt. Pindi Hazara CHANA
(Mb)
Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
14.12 WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI
14.12.1 Mhe.
Dkt. Titus Mlengeya Dismas KAMANI (Mb)
Waziri
wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
14.12.2
Mhe. Kaika Saning’o TELELE (Mb)
Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
14.13 WIZARA
YA KAZI NA AJIRA
Hakuna
mabadiliko
14.14 WIZARA
YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Hakuna
mabadiliko
14.15 WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA
MAKAZI
14.15.1 Waziri - Hakuna mabadiliko
14.15.2
Mhe. George Boniface Taguluvala SIMBACHAWENE
(Mb)
Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
14.16 WIZARA YA MAJI
14.16.1 Waziri - Hakuna mabadiliko
14.16.2 Mhe. Amos Gabriel MAKALLA (Mb)
Naibu
Waziri wa Maji
14.17 WIZARA YA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA
14.17.1 Waziri - Hakuna mabadiliko
14.17.2 Mhe. Godfrey Weston ZAMBI (Mb)
Naibu
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
4.18 WIZARA YA UCHUKUZI
Hakuna mabadiliko
4.19 WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA
MICHEZO
4.19.1 Waziri -
Hakuna mabadiliko
4.19.2 Mhe. Juma Selemani NKAMIA (Mb)
Naibu
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
4.20 WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
4.20.1 Mhe.
Lazaro Samuel NYALANDU (Mb)
Waziri
wa Maliasili na Utalii
4.20.2 Mhe.
Mahmoud Hassan MGIMWA (Mb)
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii
4.21 WIZARA YA NISHATI NA MADINI
4.21.1
Waziri
- Hakuna mabadiliko
4.21.2
Naibu
Waziri (Madini) - Hakuna mabadiliko
4.21.3 Mhe. Charles Muhangwa KITWANGA (Mb)
Naibu Waziri (Nishati)
No comments:
Post a Comment