HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 11, 2014

Watanzania wahimizwa kujiunga na mfuko wa afya ya Jamii

Na Kenneth Ngelesi, MBEYA

NAIBU waziri wa afya na ustawi wa jamii Self Rashid amesema kuwa watanzania wengi wamekuwa wapesi kukatia bima kubwa vyombo vya moto yakiwemo magari na  kuzisau afya zao ambazo ni jambo la msingi katika maisha ya sasa kwa binadamu.

Waziri huyo alitoa kauli hiyo katikati ya wiki wakati hafla ya kukabidhiwa msaada wa vifaa tiba kwa ajili ya akina mama wajazito na watoto iliyofanyika katika ukumbi Hospitali ya Mkoa wa Mbeya vifaa hivyo vilivyo tolewa na Banki ya maendelea ya watu wa Ujerumani (KfW) kwa ajili ya Mikoa ya Tanga na Mbeya.
Alisema kuwa kwa hali ilivyo ni vema kila mtanzania akawa katika mfumo wa bima ya afya kwa katika kwani dunia kote utaraibubu umekuwa ukifanyika kwa mtindo huo.

‘Ndugu zangu tum,ekuwa wepesi sana kukatia bina ya magari tena ambayo kimsingi yana (spere) kwani gari likipausuka unaweza kununua lakini miili9 yetu haina spea ndugu zangu hivyo ni vema nasi tukahamaisika kujiunga na mfuiko huu’ alisema Rashid.
Katika hafla hiyo Wziri huyo alipekea vifaa vyenye jumla ya dhamani ya sh mil 989.7 na mara baada ya kukabidhiwa vifaa hivyo naye aliwakabidhi wawakilishi wa mikoa ya Tanga na Mbeya.

Aidha Waziri Rashid aliwataka madaktari wote wa Mikoa na wilaya kubuni mbinu mbala ambazo zitalet6a hamasa kwa wamnachi wa Mikoa hiyo kujiunga na bina ya afya kwani mpaka sasa kumekuwa na kusuasua kwa zoezi hilo na kupekea upotevu wa pesa ambao kwa mwaka 2012-2013 halmashari zote kutoka mikoa hiyo zimekusanya sh mili 600/ badala y ash bil 600 aambzo zilipaswa kukusanya endepo elimu ingetolewa kwa uahaika.

Aliongeza kuwa kuwa ni vema waganga wakuu wa Mikoa na wilaya kutoka mikoa ambayo kuna mfumo huo wa bina ya afya ya jamii (CHF) watumia mikutaano, warsha na vikundi vya ngoma  kuhamisisha wana jamii kujiunga na mfuko huoa wa afywa ya jamii inasadia pindi mtu anapo patwa na magonjwa na wakati huo hana pesa ya matibanu hiuvyo akiwa na kadi ya bima ya afya anapatiwa mabibu kirahisi zaidi.

Mbali na hilo waziri huyo aliongiza kuwa endapo wananchi wengi watahamasika kujiungua na mfuko wa bina ya afya ya jamii ni janzo kikubwa cha mapato kwa halshauri hasa katika kitengo cha afya.
Akisoma taarifa mbveler ya m,gewni rasmi Kaiomu Mkurugenzi wa mfuko wa bima ya afya ya Taifa (NHIF) Hamis Mdee alisema kuwa  jumla ya sh mil 644 zimeshalipwa na vituo vya matatibabu  kwa mikoa ya Mbeya na Tanga ambavyo vimekuwa viktumia huduma hiyo kwa akina mama wajawazito tangu kuanzishwa kwa huduma hiyo Jenuari 2012.

Alisema kuwa kutokana na mafanikio haya makubwa yanweza kuwa shawishi wafadhili kupanua uwigo maeneo mengine ya mradi huo katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

Naye mwakilishi wa Banki ya maendeleraq ya watu wa ujerumani aliye jimbulisha kwa jina la Sharom alisema kuwa kutakuwa na maana zaidi uwepo wa vifaa hivyo endep[o wana nchi watapewa bora kulinga na vifaa vilivyo tolewa na banki hiyo.

Akizungumza na Tanzania daima kwa niaba ya madaktari waliofika katika halafla hiyo mganga Mkuu wa wilaya ya Mbarali DK  Bonifacwe Kasululu alisema changamoto kubwa iliyo kuwa inawakabili na kushindwa kukufanya fedha ni kutokana na sera ya serilkli kwam,ba mama majazito nanapswa kupewa huduma bure ndiyo iliyo sababisha wakina mama wengi kutojiunga na mfuko huo.

DK Kasululu aliongeza kuwa mbali na akina mama hao pia hata wahudumu wa afya katika vituo husika ilikuwa iikileta makanganyiko lakini mapaka sasa elimu imeanza kuolewa kwa akina mama waajawazito juu ya mfuko wa afya kwa mama mjazito na mtoto  pamoja na wahudumu wa afya katika vitu husika.

No comments:

Post a Comment

Pages