Wananchi na WanaCCM waliohudhuria katika mkutano wa hadhara
Uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti wakinyoosha mikono juuu kuunga mkono
maneno yaliyozungumzwa uwanjani wakati mkutano ukiendelea uliohutubiwa
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi na Makamo
Mwenyekiti wa CCM ZanzibarDk.Ali Mohamed Shein. (Picha na Ikulu)
Muasisi wa mapinduzi ya Zanzibar na mwana CCM MzeeHamid Ameir
alipokuwa akitoa salama za chama kwa Wananchi na WanaCCM Kibandamaiti
katika mkutano wa Hadhara uliofanyika leo na kuhutubiwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar Dk. ALi Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi na Makamo
Mwenyekiti wa CCM ZanzibarDk.ALi Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi na WanaCCM Kibandamaiti katika mkutano wa Hadhara uliofanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyeekiti CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Borafya Silima,Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakifuatana katika mkutano hadhara uliofanyika leo katika Viwanja vya Demokrasia Kibanda maiti Mjini Unguja,
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mama Pili Balozi wakiwa katika Mkutano wa Hadhara katika Viwanja vya Demokrasia Kibanda maiti Mjini Unguja leo uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyeekiti CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
Wananchi na WanaCCM waliofirika katika viwanja vyaDemokrasia Kibanda maiti Mjini Unguja wakiwa katika Mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo ambao umeweka bayana na kufanya uchambuzi baadhi ya vifungu vya katiba iliyopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba.
Wananchi na WanaCCM waliofirika katika viwanja vyaDemokrasia Kibanda maiti Mjini Unguja wakiwa katika Mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo ambao umeweka bayana na kufanya uchambuzi baadhi ya vifungu vya katiba iliyopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akihutubia Wananchi na Wanachama wa CCM katika Viwanja vya Demokrasia Kibanda maiti Mjini Unguja.

No comments:
Post a Comment