Mwimbaji wa muziki wa Injili
kutoka Afrika Kusini, Rebecca Malope akiwapungia mkono mashabiki wake mara
baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam, kwa ajili ya tamasha la Krisimasi litakalofanyika leo
kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee.
Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha hilo, Alex Msama. (Picha
na Francis Dande)
Mwimbaji wa muziki wa Injili kutoka Afrika Kusini, Rebecca Malope vishwa skafu na mwakilishi wa Kampuni ya Dira, Samia Mussa. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha hilo, Alex Msama.
Akivishwa Skafu.
Glory Katunzi akimkabidhi maua Rebecca Malope.
Rebbeca Malope akionyesha furaha yake baada ya kuwasili.
Akiimba moja ya nyimbo zake.
No comments:
Post a Comment