NA LOVENESS BERNARD
WATANZANIA wametakiwakujitokezakwawingikatikaTamasha
la ‘Amsha Mama Tanzania’ linalotarajiwa kufanyika Machi 5 katika uwanja wa Mwembeyanga
Temeke jijini Dar es Salaam .
Akizungumza na waandishi wa habari jijini
Dar es Salaam leo Mkurugenzi wa Kampuni ya Candy record yenye makao Mkuu yake nchini Kenya
ambao ndio waandaaji wa tamasha hilo Joe
Kariuki amesema wameamua kuleta tamasha nchini ilikuwapa fursa akina mama wa Tanzania kujiinua kiuchumi
“ Akinamama
mjitokeze kwa wingi katika tamasha hili mahususi kwenu kwa kuwa mtapata fursa mbalimbali na mtaweza kupata
mambo mbalimbali ikiwemo elimu” .AlisemaKariuki.
Kwa upande wake
balozi wa Amsha Mama nchini Khalid Ramadhani
(Tundaman), amewaomba wakinamamawa changamkie fursa kwani watajifunza mambo mengi
“Nawaomba Mama
zangu mjitokeze kwa wingi kwani tumepata bahati ya pekee ya kupendelewa kuletewa tamasha nchini kwaniniadimukutokea,”
.alisemaTundaman.
Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika pia katika uwanja wa
Ranchi ya Kedong uliopo jiji la Naivasha nchini Kenya marchi 25-27
huku likitarajia kukutanisha akinamama kutoka nchi zote za Afrika .
Aidha kutakuwa na burudani kutoka kwa wasanii kama
vile Juma Kassim ‘’Juma Nature’’,Khadija
Kopa,Roma Mkatoliki,Young Killer,Msagasumu,Man
fungo,Sharomwamba,Q-Chief,Mr
Tamasha la Amsha Mama
linatarajiwa kukutanisha akina mama mbalimbali kwa lengo la
kujifunza kuhusu kujikwamua kiuchumi kwani wao ndio chachu ya mafanikio.
Alisema wamejipanga kuwapa radha tofauti watoto wa temeke na majirani zake
,hasa kwa akina mama
kupata fursa ya kujielewa na kujitambua hasa katika kuendeleza familia zao.
No comments:
Post a Comment