HABARI MSETO (HEADER)


March 14, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKABIDHIWA TUNZO YA MSANII BORA AFRIKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wasanii wa Film wa hapa Nchini baada ya kukabidhiwa  Tunzo ya mshindi Bora wa Film ya Kiswahili East Afrika (AMVCA)  na Tunzo ya Kiswahili Afrika iliyofanyika Nchini Nigeria, hafla hiyo iliyofanyika leo March 14,2016  Oysterbay Dar es salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Tunzo ya mshindi Bora wa Film ya Kiswahili East Afrika (AMVCA) iliyofanyika Nchini Nigeria kutoka kwa mshindi wa Film hiyo Msanii Elizabeth Michael (Lulu).
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Tunzo ya mshindi Bora wa Film ya Kiswahili Afrika iliyofanyika Nchini Nigeria kutoka kwa mshindi wa Film hiyo Msanii Single Mtambalike (RICHIE).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katikati akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa Filamu Nchini Single Mtambalike (RICHIE) na Elizabeth Michael (LULU) na Wasanii wengine baada ya kupokea Tunzo za wasanii hao walizoshinda Nchini Nigeria(Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

Pages