Mabondia Abdalla Pazi 'Dulac Mbabe' kushoto akitambiana na Mada Maugo baada ya kumaliza kupima uzito kwaajili ya mpambano wao wa ubingwa wa UB.O Afrika utakaofanyika jumapili ya pasaka march 27 kesho katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Seba Temba kushoto akitunishiana mkisuli na Pius Kazaula baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpasmbano wao kesho march 27 uwanja wa ndani wa taifa katikati ni mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila'Super D' Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Abdalla Pazi 'Dulac Mbabe' kushoto akitambiana na Mada Maugo baada ya kumaliza kupima uzito kwaajili ya mpambano wao wa ubingwa wa UB.O Afrika utakaofanyika jumapili ya pasaka march 27 kesho katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Abdalla Pazi 'Dulac Mbabe' kushoto akitambiana na Mada Maugo baada ya kumaliza kupima uzito kwaajili ya mpambano wao wa ubingwa wa UB.O Afrika utakaofanyika jumapili ya pasaka march 27 kesho katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa katikat ni promota Kaike Siraju Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Seba Temba kushoto akitunishiana mkisuli na Pius Kazaula baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpasmbano wao kesho march 27 uwanja wa ndani wa taifa katikati ni mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila'Super D' Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA wote wanaicheza siku ya jumapili ya pasaka March 27 uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam wamepima uzito wao kwa ajili ya mpambano uho
akizungumzia mpambano uho mratibu wa pambano hilo Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa mabondia wote wapo tayali kwa kuwa wapo na afya tele na wameshapia uzito pamoja na afya zao kwa ajili ya mpambano uho
ambapo mabondia mahasimu kg 54.9 Fransic Miyeyusho na Nassibu Ramadhani wanakutana kwa mara nyingine kwa ajili ya mpambano wao mwingine baada ya ule wa mwanzo Miyeyusho kuibuka Mbabe
mpambano mwingine mkali utakuwa ni kati ya bondia Mada Maugo kg 79 na Abdallah Pazi ambao wametafutana kwa mda mrefu na sasa wamaliza ubishi siku ya jumapili hii ya march 27 katika uwanja wa ndani wa taifa
Super D aliongeza kwa kusema mabondia wote wamepima uzito pamoja na kuangaliwa afya zao katika ukumbi wa Mango Garden Kinondoni na mpambano utafanyika jumapili ya Pasaka March 27 uwanja wa ndani wa Taifa
'Super D' aliongeza kwa kusema kuwa mipambano hiyo inayosubiliwa kwa hamu na mashabiki lukuki
kutakuwa na mipambano ya kukata na shoka mingine bondia
Pius Kazaula atakumbana na Seba Temba mpambano mwingine utawakutanisha Cosmas Cheka na Mohamed Matumla
Katika mpambano uho kutakuwa na uhuzwaji wa vifaa vya mchezo wa ngumi pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kwa ajili ya kutambua sheria mbalimbali za mchezo zitakazokuwa zikitolewa bule kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa galama nafuu
No comments:
Post a Comment