Msafara wa magari ya Rais John Magufuli ukiwasili kwenye uzinduzi wa Daraja la Kigamboni ambalo kuanzia sasa litaitwa Daraja la Nyerere. (Picha na Francis Dande)
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara (wa pili kulia) akibadilishana mawazo na viongozi mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa Daraja la Nyerere.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara (kushoto) akibadilishana mawazo na Maofisa wa NSSF kabla ya uzinduzi wa Daraja la Nyerere.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akimkaribisha Rais John Magufuli wakati wa uzinduzi wa Daraja hilo.
Rais John Magufuli alisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara mara baada ya kuwasili.
Rais John Magufuli akiwasilimia wananchi.
Kikundi cha ngoma kikitumbuiza.
Rais John Magufuli akizungumza wakati wa uzinduzi wa Daraja la Nyerere.
Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa NSSF, Dk. Ramadhani Dau akizungumza mara baada ya kukaribishwa kutoa neno na Rais John Magufuli wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara akizungumza katika hafla hiyo.
Meneja Mradi Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Mhandisi Karim Mataka akiteta jambo na Rais Jon Magufuli wakati uzinduzi wa daraja hilo.
Baadhi ya Wakurugenzi wa NSSF.
Wafanyakazi wa NSSF wakiwa katika uzinduzi huo.
Rais John Magufuli akifungua kitambaa kuashiria
uzinduzi rasmi wa daraja wa Nyerere lililojengwa kwa ushirikiano wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Serikali.
Rais Jon Magufuli akipeana mkono na Meneja Mradi Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Mhandisi Karim Mataka wakati uzinduzi wa daraja hilo.
Rais Jon Magufuli akipeana mkono na Meneja Mradi Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Mhandisi Karim Mataka wakati uzinduzi wa daraja hilo.
Rais John Magufuli akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Daraja la Nyerere, lililojengwa kwa ushirikiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Serikali.
Sasa rasmi kupita katika Daraja la Nyerere.
Rais John Magufuli akirudisha mkasi baada ya kukata utepe.
Sasa rasmi kupita katika Daraja la Nyerere.
Rais John Magufuli akirudisha mkasi baada ya kukata utepe.
Rais John Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa NSSF, Dk. Ramadhani Dau (wa pili kulia), Meneja
Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Nyerere, Mhandisi Karim Mataka na Mtendaji Mkuu wa
Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroad), Mhandisi Patrick Mfugale.
Meya wa jiji la Dar es Salaam akiagana na Rais John Magufuli.
Rais John Magufuli akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa NSSF, Dk. Ramadhani Dau.
Meneja
Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Nyerere, Mhandisi Karim Mataka akiagana na Rais
Jon Magufuli.
Umati wa watu uliohudhiria uzinduzi huo. Umati wa watu.
Jiwe la msingi.
Wakazi wa Kigamboni wakivuka darajani la Nyerere.Daraja la Nyerere.
Muonekano wa daraja la Nyerere
Wananchi wakifuatilia uzinduzi huo.
Baadhi ya Wakurugenzi wa NSSF wakiwa katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment