HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 02, 2016

WAZIRI MHAGAMA AKABIDHI GARI LA WAGONJWA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akikabidhi gari la wagonjwa kwa niaba ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Bw. Hassan Bendeye katika Ofisi ya Waziri Mkuu tarehe 1 Aprili, 2016.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akibonyeza kitufe cha gari la wagonjwa baada ya kulikabidhi kwa Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Bw. Hassan Bendeye kwa ajili ya kutoa  huduma katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma tarehe 1 Aprili, 2016.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akikagua vifaa muhimu ndani ya gari la Wagonjwa. Kulia ni Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Bw. Hassan Bendeye katika ofisi ya Waziri Mkuu  tarehe 1 Aprili, 2016.
Muonekano wa Gari la Wagonjwa lililokabidhiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) kabla ya kukabidhi kwa Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Bw. Hassan Bendeye katika Ofisi ya Waziri Mkuu Aprili 1, 2016
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Pages