HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 23, 2016

TSHABALALA MCHEZAAJI BORA WA MWEZI MACHI-APRILI 2016

Robert Lazaro (kulia), ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Digital and Technology wa Kampuni ya EAG Group ambao ni washauri na watekelezaji wa masuala ya Biashara na Masoko katika Klabu ya Simba akimkabidhi zawadi ya shs. laki tano mchezaji boara wa mwezi Machi-Aprili 2016 Mohamed Tshabalala. Tshabalala ameshinda tunzo hiyo ya mechezaji bora kwa mara ya pili.

No comments:

Post a Comment

Pages