Luqman Ally
(14) anatafutwa na wazazi wake, amepotea tarehe 13 Juni mwaka huu, anasoma shule
ya Msingi Mbagala Islamic Darasa la Sita iliyopo Mbagala jijini Dar es Salaam.
Mara ya
kwanza alitoroka wiki mbili zilizopita na akapatikana katika kituo cha kulelea
watoto wanaoishi katika mazingira Magumu cha Chad kilichopo Mazese.
Taarifa
imetolewa katika kituo cha Polisi cha Majimajitu Mbagala jijini Dar es Salaam
kwa RB .NO MAT/RB/618/16.
Yeyote
ambaye atamwona mtoto huyo apige
NAMBA YA
SIMU. 0655891200. MAMA YAKE MZAZI WA LUQMAN.
No comments:
Post a Comment