HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 25, 2016

WAZIRI WA AFYA AFUNGUA MASHINDANO YA MASAUNI-JAZEERA

 Waziri wa Afya(SMZ), ambaye pia ni mgeni Rasmi, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni ambaye pia ni mchezaji wa timu ya maveterani ya Kikwajuni,  Mhe. Nassor Salim Jazeera, muda mfupi kabla ya mchezo wa ufunguzi wa Ligi ya Masauni-Jazeera, iliyofanyika katika Uwanja wa Mnazi Mmoja, Zanzibar. (Picha na Mpiga Picha Wetu)
 Waziri wa Afya(SMZ), ambaye pia ni mgeni Rasmi, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, akisalimiana na wachezaji wa timu ya kundi la G1, muda mfupi kabla ya mchezo wa ufunguzi wa Ligi ya Masauni-Jazeera, iliyofanyika katika Uwanja wa Mnazi Mmoja, Zanzibar.
 Waziri wa Afya(SMZ), ambaye pia ni mgeni Rasmi, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, akisalimiana na wachezaji wa timu ya Kikwajuni juu, wakati wa ufunguzi wa Ligi ya Masauni-Jazeera, iliyofanyika katika Uwanja wa Mnazi Mmoja, Zanzibar.
 Waziri wa Afya(SMZ), ambaye pia ni mgeni Rasmi, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Ligi ya Masauni-Jazeera, iliyofanyika katika Uwanja wa Mnazi Mmoja, Zanzibar.
 Waziri wa Afya(SMZ), ambaye pia ni mgeni Rasmi, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (wa pili kulia), na waalikwa wengine wakifuatilia mchezo wa Ligi ya Masauni- Jazeera katika Uwanja wa Mnazi Mmoja.
Watazamaji wakifuatilia mchezo wa ufunguzi wa Ligi ya Masauni-Jazeera, kati ya Timu ya Maveterani na Timu ya Kundi la G1, uliofanyika katika Viwanja wa Mnazi Mmoja,Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Pages