Wakuu wa wilaya kutoka mikoa mitano ya Singida ,Manyara,Arusha,Kilimanjaro na Tanga wakiwa kwenye mkutano wa Kazi wa kupata uelewa zaidi wa mfuko wa Tasaf. |
Wakuu wa mikoa Mhandisi Mathew Mtigumwe wa Singida,Dk Joel Bendera wa Manyara (katikati) na Martine Shighela wa Tanga. |
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Tasaf ,Ladislaus Mwamanga akizungumza katika mkutano huo. |
Mkuu wa wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha akizungumza jambo katika mkutano huo. |
Mkuu wa wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga, Godwini Gondwe akizungumza katika mkutano huo. |
Mkuu wa wilaya ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro, Kippi Warioba akizungumza katika mkutano huo. |
No comments:
Post a Comment