HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 18, 2016

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA SSRA ILIPOTOA MSAADA WA MADAWATI KWA SHULE ZA MSINGI KATIKA MANISPAA YA TABORA, MKOANI TABORA

Mkuu wa Kitengo cha Uhusino na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi.Sarah Kibonde akimkabidhi madawati Katibu Tawala wa Wilaya ya Tabora, Sweetbert Nkuba, kwa ajili ya Shule za Msingi za Manispaa ya Tabora, mkoani Tabora.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusino na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi.Sarah Kibonde (aliyekaa kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Manispaa, Walimu Wakuu wa Shule za Manispaa ya Tabora pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi za manispaa hiyo, mara baada ya kukabidhi madawati kwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Tabora, Sweetbert Nkuba.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusino na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi.Sarah Kibonde (kulia), akiwa amekaa kwenye moja ya madawati aliyomkabidhi Katibu Tawala wa Wilaya ya Tabora, Sweetbert Nkuba (kushoto), kwa ajili ya Shule za Msingi za Manispaa ya Tabora, mkoani Tabora. 
Baadhi ya wanafunzi wa Shule mbalimbali za Msingi za Manispaa ya Tabora, wakiwa wamekaa kwenye madawati yaliyotolewa na SSRA na kukabidhiwa na Mkuu wa Kitengo cha Uhusino na Uhamasishaji wa SSRA, Bi.Sarah Kibonde kwa ajili ya Shule hizo za Msingi mkoani Tabora.  
Baadhi ya wanafunzi wa Shule mbalimbali za Msingi za Manispaa ya Tabora, wakiwa wamekaa kwenye madawati yaliyotolewa na SSRA na kukabidhiwa na Mkuu wa Kitengo cha Uhusino na Uhamasishaji wa SSRA, Bi.Sarah Kibonde kwa ajili ya Shule hizo za Msingi mkoani Tabora.  
Mkuu wa Kitengo cha Uhusino na Uhamasishaji wa wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi.Sarah Kibonde, akiwa amesimama mbele ya wanafunzi waliokaa kwenye madawati yaliyotolewa na SSRA kwa ajili ya Shule za Msingi za Manispaa ya Tabora, mkoani Tabora. 

No comments:

Post a Comment

Pages