Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar, Alhaj Abood Jumbe katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Migombani Zanzibar Agosti 15, 2016. (Picha na Ofisi a Waziri Mkuu)
Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Rais Mstaafu wa Zanzibar, Aman Karume, Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Ghalib Bilai wakiwa katika mazishi ya Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar, Alhaj Abood Jumbe yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu Migombani, Zanzibar Agosti 15, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Ghalib Bilal baada ya mazishi ya Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar, Alhaj Abood Jumbe yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Migombani Zanzibar Agosti 15, 2016.
No comments:
Post a Comment