Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mh. Charles Mwijage akisalimiana na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mzumbe, Jane Maganga katika banda la benki hiyo wakati wa Kongamano la Uwekezaji mkoani Morogoro. Kongamano hilo lilidhaminiawa na Benki ya CRDB.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mh. Charles Mwijage akifafanua jambo kwa Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mzumbe, Jane Maganga.
Meneja Mikopo Shirikishi wa Benki ya CRDB, Zubeir Masabo akitoa mada kuhusu Uwekezaji wa Benki ya CRDB wakati wa kongamano la uwekezaji lililofanyika mjini Morogoro. Kongamano hilo limedhaminiwa na Benki ya CRDB.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Stephen Kebwe akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kongamano la uwekezaji mjini Morogoro.

Washiriki wa kongamano la uwekezaji Morogoro.
Prof. Samuel Wangwe akitoa mada katika kongamano la Uwekezaji mkoani Morogoro.
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela (katikati) akifuatilia mada katika kongamano hilo.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Morogoro (kulia), Lusingi Sitta akifuatilia mada katika kongamano hilo.
Kutoka kulia ni Meneja Mahusiano ya Kibiashara na Uwezeshaji wa Benki ya CRDB, Baraka Eusebio, Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Morogoro, Lusingi Sitta na Meneja Mikopo Shirikishi wa dBenki ya CRDB, Zubeir Masabo.
Mkurugenzi
wa Benki ya CRDB Morogoro, Lusingi Sitta akitoa maelezo kuhusu uwekezaji
wa Benki ya CRDB kwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela wakati wa kongamano
la uwekezaji lililofanyika mjini Morogoro.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Morogoro, Lusingi Sitta akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu uwekezaji wa Benki ya CRDB katika kongamano la uwekezaji lililofanyika mjini Morogoro.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Morogoro, Lusingi Sitta akibadilishana mawazo na Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela (katikati) katika kongamano la uwekezaji lililofanyika mjini Morogoro.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Uwekezaji mkoani Morogoro wakipata maelezo kutoka kwa maofisa wa Benki ya CRDB katika banda la benki.
Picha ya pamoja.
Wageni waalikwa wakifurahia champaigne.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro akimlisha keki Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Morogoro Lusingi Sitta.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Morogoro Lusingi Sitta akisalimiani na wageni waalikwa.
Wageni waalikwa wakifuatilia halfa hiyo.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Morogoro, Lusingi Sitta akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Morogoro Lusingi Sitta akitambulisha wafanyakazi wa Benki ya CRDB.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiwasalimia wageni waalikwa.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandali ya hafla hiyo, Denis Kayanda akitoa neno.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakifurahi katika hafla ya kongamano la Uwekezaji mjini Morogoro.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakifurahi katika hafla ya kongamano la Uwekezaji mjini Morogoro. .
Wadau wa Benki ya CRDB wakiburudika.
Ngoma Afrika Band ya Morogoro wakitoa burudani kwa wadau wa Uwekezaji katika hafla iliyoandaliwa na Benki ya CRDB na kufanyika Morogoro Hoteli.
Wadau wakicheza muziki.

Keki.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Stephen Kebwe akikata keki kuashiria makaribisho kwa wawekezaji katika hafla iliyoandaliwa na Benki ya CRDB (Dinner).Wageni waalikwa wakifurahia champaigne.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro akimlisha keki Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Morogoro Lusingi Sitta.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Morogoro Lusingi Sitta akisalimiani na wageni waalikwa.
Wageni waalikwa wakifuatilia halfa hiyo.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Morogoro, Lusingi Sitta akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Morogoro Lusingi Sitta akitambulisha wafanyakazi wa Benki ya CRDB.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiwasalimia wageni waalikwa.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandali ya hafla hiyo, Denis Kayanda akitoa neno.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakifurahi katika hafla ya kongamano la Uwekezaji mjini Morogoro.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakifurahi katika hafla ya kongamano la Uwekezaji mjini Morogoro. .
Wadau wa Benki ya CRDB wakiburudika.
Ngoma Afrika Band ya Morogoro wakitoa burudani kwa wadau wa Uwekezaji katika hafla iliyoandaliwa na Benki ya CRDB na kufanyika Morogoro Hoteli.
Wadau wakicheza muziki.
No comments:
Post a Comment