HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 08, 2016

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Buyungu, Kasuku Bilago kwenye vianja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kilwa  Kusini, Selemani Bungara (kulia) na katikati ni mbunge wa Konde, Khatib Said Haji kwenye viwanja vya Bunge mjini  Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali kutoka kwa Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe mjini Dodoma jana, wakati wa kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuuu. 

No comments:

Post a Comment

Pages