HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 28, 2016

MKUU WA MKOA WA ARUSHA AAHIDI KUWAINUA WASANII WA FILAMU

Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizungumza na makundi ya vijana wajasiriamali na wasanii wa Filamu jijini Arusha.Amesema fani hiyo ni muhimu katika kuhamasisha maendeleo na kujenga mshikamano.


Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Arusha,Rebeca Mongy akizungumza juu ya mipango waliyonayo kuwawezesha vijana kujikwamua kiuchumi,kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo na kulia Mkuu wa Idara ya maendeleo ya Jamii Jiji la Arusha,Tajiel Mahega.
Mkuu wa Idara  ya maendeleo ya jamii Jiji la Arusha,Tajiel Mahega akizungumza katika mkutano huo.

Mwenyekiti wa chama cha Waigizaji na Filamu mkoa wa Arusha(TDFAA)Isack Chalo.

Burudani ikiendelea kutolewa na kikundi  cha Sarakasi.

No comments:

Post a Comment

Pages