HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 22, 2016

TEA YASHIRIKI MAONESHO KATIKA MKUTANO MKUU WA ALAT-MARA

 Kaimu Meneja Miradi Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Anne Mlimuka (kushoto), akitoa ufafanuzi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita Simon Berege katika maonesho yanayofanyika mkoani Mara katika Mkutano Mkuu wa ALAT.
Ofisa Mawasiliano TEA, Sophia Asad akitoa maelezo katika maonesho wakati wa Mkutano Mkuu wa ALAT.
  Kaimu Meneja Miradi Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Anne Mlimuka akitoa ufafanuzi baadhi ya watu waliotembelea banda la TEA katika maonesho yanayofanyika katika Mkutano Mkuu wa ALAT mjini Musoma. 
Meneja Mawasiliano na Mahusiano wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Sylvia Lupembe akimweleza jambo Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Simbachawene kwenye maonesho yaliyofanyika katika  Mkutano Mkuu wa ALAT mjini Musoma.

No comments:

Post a Comment

Pages