HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

September 10, 2016

UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WASTAAFU WATARAJIWA

 Mkurugenzi Mkuu wa UTT AMIS PLC, Dk. Hamisi Kibola  akitoa mada kwa wastaafu watarajiwa kuhusu maisha baada ya ajira katika ukumbi wa mkutano wa Morogoro Hoteli, Morogoro.
 Baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa UTT AMIS PLC, Dk. Hamisi Kibola  wakati akitoa mada kwa wastaafu watarajiwa kuhusu maisha baada ya ajira katika ukumbi wa mkutano wa Morogoro Hoteli, Morogoro.
Mkurugenzi Mkuu wa UTT AMIS PLC, Dk. Hamisi Kibola  akitoa mada kwa wastaafu watarajiwa kuhusu maisha baada ya ajira katika ukumbi wa mkutano wa Morogoro Hoteli, Morogoro.

No comments:

Post a Comment

Pages