HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 09, 2016

WAZIRI MKUU AWAFARIJI WALIOPATWA NA TETEMEKO LA ARDHI

 Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa marehemu walipoteza maisha kutokana na tetemeko la ardhi  mkoani Kagera katika ibada maalum ya kuwaombea marehemu hao iliyofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananfunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyakato mkoani Kagera wakati alipokwenda  shuleni hapo Septemba 11, 2016 kujionea athari za tetemeko la ardhi lililoukumba mkoa huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). 
 Baadhi ya majeneza yaliyokuwa na miili ya marehemu waliokufa katika tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera, yakiwa katika Uwanja wa Kaitaba wakati wa ibada malumu ya kuwaombea marehemu ho. (Picha na Ashura Jumapili)
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali mmoja wa wajeruhi watetemeko la ardhi katika hospitali ya mkoa. (Picha na Ashura Jumapili)

No comments:

Post a Comment

Pages