Na Mpiga Picha Wetu
UBALOZI
wa Ujerumani umetangaza kudhamini tamasha la mziki kwa Afrika mashariki
liitwalo Sauti za busara litakalo fanyika Zanzibar kwanzia februari 9 hadi 12
mwaka kesho.
Kwa
mujibu wa taarifa iliyotumwa , balozi Ego Kochanke na mwenyekiti wa tamasha hilo Mohammed Said wamesaini
mkataba wa makubaliano wa 5,000.
Toka
mwaka 2004 sauti za busara zimekuwa zikisherekewa afrika mashariki na
kuwakutanisha wanamuziki wa wilaya, mikoa na hata kimataifa.
Mwakani
Pat Thomas na Area Band kutoka Ujerumani watashiriki na kutoa burudani katika
siku zote nne za tamasha hilo.
Sauti
za busara limetoholewa kwenye neon la kingereza ‘Sound of Wisdom’ na kwamba
tamasha hilo limekuwa likisapoti sana mziki wa Afrika hasa mziki wa asili ambao
ni wakipee na kolabo kutoka kwa wasanii mbalimbali.
No comments:
Post a Comment