Watanzania wameombwa kujitokeza kwa wingi kuchangamkia fursa ya kushiriki kwenye Soko la Wazi- Mkulima Market, litakalofanyika tarehe 22, 23 na 24 Desemba 2016 (Alhamisi, Ijumaa na Jumamosi) katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mkabala na UDASA Club huku waandaaji hao wakitoa nafasi 30 kwa wajasiriamai wadogo kushiriki kwenye tukio hilo kwa bei ya punguzo.
Kwa mujibu wa waandaaji wa chapa ya Mkulima Market, Dkt. Vicensia Shule ameeleza amebainisha kuwa, Habari njema hiyo ni kwa Wajasiriamali wote hapa nchini wameombwa kujitokeza kuchangamkia hofa hiyo.
“Nafasi 30 za Wajasiriamali wadogo wa kilimo, uvuvi, ufugaji na uwindaji kushiriki kwenye Soko la Wazi la Mkulima Market kwa bei ya punguzo. Sasa watalipa 90,000/- tu kwa siku zote tatu kwa banda dogo (mita 2 kwa 6) badala ya 125,000/-
Lipia mapema kupata nafasi hiyo. Wasiliana nasi: Mtayarishaji (simu/sms/whatsapp) kupitia namba 0767 254 887 au Mratibu Msaidizi (Ushiriki) Peter Mfuko 0718 05
Pia tunaendelea kuwashukuru wadhamini wetu kwa kuendelea kujitokeza na kwa kuwezesha wajasiriamali wadogo kushiriki kwa wingi kwenye onesho hili la Mkulimamarket.
No comments:
Post a Comment