HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 16, 2016

MWANZILISHI WA JAMII FORUMS AFIKISHWA MAHAKAMANI

Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Jamii Forums, Maxence Melo akiongozwa na Askati Polisi wakati alipofikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, kusomewa mashtaka yanayomkabili.

No comments:

Post a Comment

Pages