HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 11, 2016

WANANCHI KIGOMA WAMPONGEZA DIWANI WAO

 Wananchi wa Kata ya Mwanga Kusini Mkoani Kigoma wakimpongeza Diwani wao Mussa Maulid (CCM) kulia walioshikana mikono kwa kuweza kufanikisha zoezi la uchongaji barabara hiyo katika eneo la Kilimahewa shule kuelekea Kilimahewa B yenye urefu wa Kilomita 2 barabara hiyo ni muhimu kwani inaunganisha wakazi wa pande zote mbili, barabara hiyo imechongwa pamoja na uwekaji Culvert kwa nguvu za wananchi kwa asilimia 100 wakiongozwa na diwani wao.

No comments:

Post a Comment

Pages