HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 24, 2017

MKURUGENZI MKUU WA UNEP AFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA

Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), Eric Solheim katika ziara yake mkoani Arusha,Gambo ameiomba UNEP kusaidia fedha mradi wa kulinda chanzo cha maji cha Olgilai kilichopo wilayani Arumeru kinachotumika kusambaza maji jijini Arusha ambacho kimesongwa na shughuli za binadamu kikiwemo kilimo na upandaji miti ambayo sio rafiki na vyanzo vya maji.
Mratibu wa kitaifa wa UNEP nchini,Clara Makenya akizungumza jambo kwenye ziara hiyo,kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha,Richard Kwitega na Mkuu wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqarro.
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa(UNEP),Eric Solheim(kushoto   kwake) naa maafisa wengine wa UN pamoja na ofisi ya Mkuu wa mkoa.

No comments:

Post a Comment

Pages