Mfanyabiashara Yusuf Manji akiwasilia majira ya saa tano asubuhi katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam leo baada ya kutakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuripoti kituoni hapo. (Picha na Said Powa).
Mfanyabiashara Yusuf Manji akiwasilia majira ya saa tano asubuhi katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam leo baada ya kutakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuripoti kituoni hapo.
Manji akiingia Kituo Kikuu cha Polisi.
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (kushoto), akishuka katika gari wakati alipofikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo akikabiliwa na shitka la kutoa Lugha za Uchochezi. Kulia ni msanii wa Filamu Wema Sepetu akishuka katika gari la Polisi wakati akiwasili mahakamani leo.
Tundu Lissu akiwa ameshika suti zake wakati akiwasili mahakamani.
Akiingia mahakamani.
Wema Sepetu akiingia mahakamani.
Tundu Lissu akionesha alama ya V
Wema akiingia katika gari baada ya kupata dhamana.
Tundu Lissu akipeana mkono na kada wa Chadema, Hamis Mgeja.
Tundu Lissu akizungumza na mke wake (kulia).
Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akinyoosha vidole viwili kama ishara ya alama ya chama chake wakati akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, kusikiliza kesi yake ya kutoa maneno ya uchochezi.
No comments:
Post a Comment