Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) wakifurahia kuona medali ya dhahabu aliyoivaa Mwanaridha Alphonce Simbu ambayo aliinyakuwa katika mashindano ya Mumbai Marathon nchini India na tuzo aliyoipata hivi karibuni baada ya kushika nafasi ya tano katika mashindano ya London Marathon. Waziri Mkuu alikutana na mwanariaha huyo kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 27, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
PMO 4510 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kahama mjini , Jumanne Kishimba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 27, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wa Chama cha CUF kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 27, 2017. Kutoka kulia ni Riziki Mngwali wa Viti Maalum, Saed Kubenea wa Ubungo (Chadema), Juma Kombo Hamad wa Wingwi, Abdallah Mtolea wa Temeke na Haji Khatib Said wa Konde.
No comments:
Post a Comment