Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Spika Mstaafu, Mhe. Anne Makinda (kulia) ugeni uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Spika Mstaafu, Mhe. Anne Makinda (kulia) ugeni uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)akisalimiana na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao kilichofanyika ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akikabidhiwa zawadi ya Busati toka kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao kilichofanyika ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipiga picha ya pamoja na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao kilichofanyika ofisini kwake Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment