HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 24, 2017

MANISPAA YA KIGAMBONI YAWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KUNUNUA VIWANJA


Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni, Stephen Katemba, akionesha viwanja vinavyouzwa na manispaa hiyo katika maeneo ya Somangila, Kimbiji na Pembamnazi jijini Dar es Salaam, ambapo viwanja 6000 vilivyopimwa vitauzwa kwa wananchi. (Picha na Francis Dande). 

No comments:

Post a Comment

Pages