HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 08, 2017

YANGA YAJIWEKA KATIKA NAFASI NGUMU KOMBE LA SHIRIKISHO

 Beki wa Yanga, Hassan Kessy, akiwatoka wachezaji wa MC Alger katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda 1-0. (Picha na Francis Dande).
 Mfungaji pekee wa bao la Yanga katika mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya MC Alger, Thabani Kamusoko (kulia), akipongezana na Donald Ngoma kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Kwa raha zetu.........

No comments:

Post a Comment

Pages