Rais John Magufuli akimkabidhi Tuzo ya ushindi wa kipengele cha mawasiliano ya Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa sabasaba 2017 kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Simon Karikari, jijini Dar Es Salaam. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage. (Na Mpiga Picha Wetu).
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, akimpongeza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Simon Karikari.
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment