Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akimvisha cheo Kamishna wa Divisheni
ya Operesheni Billy Mwakatage, wakati wa hafla fupi ya kuapishwa iliyofanyika
leo Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akimvisha cheo Kamishna wa Divisheni
ya Usalama dhidi ya Moto, Jesuald Ikonko wakati wa hafla fupi ya kuapishwa
iliyofanyika leo Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akimsikiliza Msemaji wa Jeshi hilo
Mrakibu Msaidizi Puyo Nzalayaimisi, akitoa utambulisho mfupi wa Makamishna wakati
wa hafla fupi ya kuapishwa iliyofanyika leo Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es
Salaam.
Kamishna wa Divisheni ya
Oparesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage, akila kiapo cha
Utii mbele ya Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye,
wakati wa hafla fupi ya kuapishwa iliyofanyika leo Makao Makuu ya Jeshi, jijini
Dar es Salaam.
Kamishna wa Divisheni ya
Usalama dhidi ya Moto wa Jeshi la Zimamoto na, Jesuald Ikonko, akila kiapo cha
Utii mbele ya Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye,
wakati wa hafla fupi ya kuapishwa iliyofanyika leo Makao Makuu ya Jeshi, jijini
Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye (watatu kulia), akiwa katika picha na Kamishna
wa Utawala na Fedha, Michael Shija (wapili kulia), Kamishna wa Oparesheni Billy
Mwakatage (kushoto) na Kamishna wa Usalama dhidi ya Moto, Jesuald Ikonko
(kulia) wakati wa hafla fupi ya kuapishwa iliyofanyika leo Makao Makuu ya
Jeshi, jijini Dar es Salaam. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA-JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, MAKAO
MAKUU
No comments:
Post a Comment