Makamu wa Kwanza wa
Rais Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. John Samwel Malecela (mwenye
kofia ya njano) akimuonesha Mkuu wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge
mizabibu iliyopandwa kwenye shamba la Chinangali II Wilayani Chamwino
wakati wa Ziara ya Dkt. Mahenge Wilayani humo
Baadhi ya Wananchi wa
Kijiji cha Manzase Wilayani Chamwino wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa Dodoma
Dkt. Mahenge (hayupo pichani) wakati alipofanya mkutano wa hadhara
kusikiliza kero za wananchi Kijiji hapo. (Na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma)
No comments:
Post a Comment