Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa mara baada ya kuwasili
Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA IKULU
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Waziri Mkuu Mstaafu
Edward Lowassa mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Waziri Mkuu
Mstaafu Edward Lowassa mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na Waziri Mkuu Mstaafu
Edward Lowassa Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu
Edward Lowassa mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment